facebook likes

Wednesday, August 21, 2013

Mizigo ya Justin Bieber yakaguliwa uwanja wa ndege baada ya kuhisiwa kubeba dawa za kulevya.

BIEBER BAGS 2
Mabegi ya muimbaji kinara wa Marekani Justin Bieber umezuiliwa na kukaguliwa katika uwanja wa ndege wa Ft. Lauderdale uliopo Florida baada ya kutolewa dokezo kuwa msanii huyo na kundi lake wamebeba dawa za kulevya.
SOMA ZAIDI............
Hata hivyo baada ya kupekuliwa kwa mizigo hiyo hakukupatikana dawa wala kitu chochote kisichoruhusiwa hivyo kuruhusiwa kuendelea na safari yake.
Imearifiwa kuwa taarifa iliyokuwa imetolewa kuhusu Bieber ilikuwa ya uongo na haijulikani ilitolewa na nani.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...