facebook likes

Wednesday, August 21, 2013

Ebwana Feza Kessy si amekwenda Botswana, tazama alivyopokewa sasa

Hakuficha mapenzi ya kweli aliyonayo kwa mpenzi wake mpya waliekutana kwenye jumba la BBA 2013, Mbotswana Oneal… 
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.....
kuna wengine walichukulia kama mzaha pale Feza alipohojiwa na kusema wazi kwamba anampenda kiukweli Oneal na chochote kinaweza kutokea kati yao.
Taarifa ikufikie kwamba tayari Feza ameshaondoka Tanzania na kwenda Botswana kwa mpenzi wake ambapo amepata mapokezi makubwa ambapo kunatarajiwa kufanyika party ya chakula cha jioni cha mastaa hao ambao watajumuika na watu wengine pia watakaolipa kiingilio.










No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...