facebook likes

Thursday, August 15, 2013

ZIJUWE NCHI 25 MASIKINI ZAIDI DUNIANI'' TANZANIA YAPIGA BAO SASA INATISHA KWA KASI YA UCHUMI.

......SOMA ZAIDI,,.....
TAKWIMU za nchi masikini dunian,Tanzania mwaka 2010 ilishika nafasi ya tatu kwa umaskini duniani, lakini Tanzania kwa sasa imepiga hatua hata na kwenye 25 Tanzania haimo katika nafasi ya nchi masikini duniani. Tanzania inasemwa kuwa miongoni mwa nchi zinazokuwa kiuchumi kwa kasi ya juu Africa.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...