facebook likes

Thursday, August 15, 2013

MFAHAMU DANIEL GUDIOTTI NYOTA WA MY ETERNAL


Daniel Guidotti, ni jina lilijozolea umaarufu mkubwa duniani kote hususani kwa wadau wa tamthilia za kifillipino.
...SOMA ZAIDI....
Jina lake halisi ni Rodel Luis Naciancono ila wafilipino wanamfahamu zaidi kwa jina la Coco Martin.Alizaliwa 1 november ,1981 huko phillipness(fillipino) na alianza kujihusisha rasmi na uigizaji mwaka 2001 katika tamthilia ya kwenye television iliyoitwa Luv Text ambayo aliigiza kwa kutumia jina lake halisi Rodel.Kuanzia hapo nyota yake ikafunguka na kuanza kuonekana katika tamthilia mbalimbali na matangazo ya televisheni.
Mwaka 2006 alishinda tuzo ya YOUNG CRITICS CIRCLE BEST ACTOR.Mwanzoni mwa mwaka 2007 alijiunga na GMA TV show maarufu kwa show za televishen nchini fillipino alipoanza kuigiza katika tamthilia ya Daisy Suiete,martin pia aliigiza katika filamu ya independent gay -oriented film Day break na Jay ambazo kutokana na umahiri wake zilimpatia umaarufu mkubwa na kumuwezesha kushinda tuzo ya Gawad Urian award.
mwaka 2008 alijiunga na kampuni ya ABS-CBN na kuigiza filamu kama Ligaw na Bulakiak zilzizokuwa maarufu dunia kote .mwaka 2009 alianza rasm kuigiza drama series na alishinda tuzo ya Best drama actor.Mwaka 2012 martin aliigiza tamthilia ya WALANG HANGGAN iliyompatia umaarufu dunia kote mpaka kwetu Tanzania.Martin anasifika kama muigizaji mwenye skendo nyingi huko nchini kwao na weza kulinganisha na muigizaji wa bongo mdada Wema sepetu kwa hapa kwetu bongo

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...