facebook likes

Thursday, August 15, 2013

Mambo ya Digitali yanapomuumbua star wa Muziki.



Iphone inapotumika kupromote Samsung Galaxy S4. 
Mwanamuziki wa miondoko ya Pop ambaye aliwahi kuwa mwimbaji kiongozi wa kundi La The Pussycat Dolls Nicole Scherzinger wiki iliyopita alitoa kali ya mwaka .
..SOMA ZAIDI.....
Mwanamuziki huyu ni mmoja kati ya A-List stars wenye mkataba wa kuwa mabalozi wa Simu mpya ya Samsung Galaxy S4 na huwa wanatumika kupush mauzo ya simu hizo kwenye mitandao ya kijamii hususan Twitter na Instagram .
Kilichotokea ni kwamba Nicole ali-tweet maneno haya “Having too much fun with my @SamsungMobile #GALAXY4 ” ambapo alituma picha iliyoambatana na tweet hiyo , kwa bahati mbaya alitumia simu ya mpinzani wa kibiashara wa mdhamini wake ambaye ni Apple Iphone na unapotweet kutumia simu hiyo kila mtu anaona kuwa umetumia Iphone na hapo ndio Nicole alipobugi kama picha hapo chini inavyoonyesha .
Iphone inapotumika kupromote Samsung Galaxy S4.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...