facebook likes

Thursday, August 15, 2013

Kutana na picha ya rais Uhuru Kenyatta akiwa na familia yake, mke na watoto wao watatu

Uhuru Kenyatta 11
Kenya’s First lady Margaret Kenyatta ameiweka kwenye page yake ya facebook picha yake na mumewe ambae ni Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na watoto wao watatu  Jomo Kenyatta, Jaba Kenyatta na  Ngina Kenyatta na kisha akaandika ‘My lovely family’
........ANGALIA PICHA.....

Uhuru Kenyatta na familia August 2013

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...