facebook likes

Monday, August 19, 2013

Huyu Ndio Bibi kizee aliyedondoka wakati akiwanga usiku

Watu wakimshangaa bibi aliyedaiwa kuwa mchawi. Ni aliyekaaa katikati.
SOMA ZAIDI.........
 
...Akipewa chakula, wali na maharage kutoka kwa wasamaria wema.
Akiwa kapakatia sahani la wali aliopewa.

Watu waliokusanyika kumshangaa.

BIBI mmoja ambaye hakuweza kupatikana jina lake mara moja, jana majira ya saa mbili usiku maeneo ya Chanika, jijini Dar es Salaam alidaiwa kuanguka wakati akiwa katika harakati za kuwanga ambapo wakazi wa hapo walimkamata na kuanza kumhoji kwa maswali mbalimbali kama anavyoonekana pichani.

PICHA - GPL

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...