facebook likes

Monday, August 19, 2013

Mhe January Makamba ndani ya Fish Crab studio na Lamaar

jn
Mbunge wa Bumbuli Mhe January Makamba hivi karibuni alienda Fish Crab kwa Lamaar, unadhani kaenda kufanya nini pale?. Kurekodi ngoma au?, 

Lamaar amesema kwamba Mhe January Makamba anamsaidia kupata idea za kutengeneza good music kwenye studio yake. Kumbe Mhe January Makamba anajua mambo music, itakuwa poa siku Lamaar atoe hiyo ngoma ambayo alisaidiwa idea ya kuitengeneza na Mhe January Makamba.
january

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...