Jokate kuja na track yake akiwa na Lucci
Kutoka
kwenye instagram ya Jokate amepost picha akiwa na Lucci ikiwa na maneno
“I know he’s bad so bad for me”. Wiki hii kila siku Jokate atakuwa
anatoa picha tofauti kama hizi akielekea kutoa video yake Ijumaa hii.
No comments:
Post a Comment