WANANCHI mbali mbali na wanafunzi wa skuli za sekondari kisiwani Pemba,
wakifuatia kwa makini mchezo wa kuigiza,
....SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.....kutoka katika kikundi cha Sanaa
Gombani Pemba, juu ya uzinduzi wa kampeni dhidi ya udhalilishaji wa
watoto, Inayojulikana kama ni “Daladala yangu ni salama kwa watoto” huko
katika steni ya dalalala chake chake (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
WANAKIKUNDI cha Sanaa kilichopo gombani Pemba, wakiigiza moja ya maigizo
igizo, katika uzinduzi wa kampeni dhidi ya udhalilishaji wa watoto,
Inayojulikana kama ni “Daladala yangu ni salama kwa watoto” na kuwafanya
madereva wa gari za abiria kuacha kazi zao na kuangalia igizo hilo kama
wanavoonekana katika picha, huko katika steni ya dalalala chake chake
(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali, wakiongozwa na Mkurugenzi wa Wanawake
na Watoto Zanzibar Rahma Ali Khamis wapili kutoka kushoto, katika hafla
ya uzindizi wa kampeni dhidi ya udhalilishaji wa watoto, inayojulikana
kama “Daladala yangu ni Salama kwa watoto’ huko katika steni ya daladala
chake chake. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
AFISA Tawala wilaya ya Chake Chake, Rashid Khadid akizungumza kwa niaba
ya mkuu wa wilaya hiyo, Mwanajuma Majid Abdalla katika hafla ya uzinduzi
wa kampeni dhidi ya udhalilishaji wa watoto, inayojulikana kama
“Daladala yangu ni Salama kwa watoto” huko katika steni ya daladala
chake chake. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
AFISA Tawala wilaya ya Chake Chake, Rashid Khadid akibandika Stika
katika daladala ya Chake-Wete, kuashiria uzinduzi wa kampeni dhidi ya
udhalilishaji wa watoto, inayojulikana kama “Daladala yangu ni Salama
kwa watoto” kama anavyoonekana katika picha, huko katika steni ya
daladala chake chake. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
MKURUGENZI wa Wanawake na Watoto Zanzibar, Rahma Ali Khamis akibandika
stika katika daladala ya Chake-Wete, mara baada ya kuzinduliwa kwa
kampeni dhidi ya udhalilishaji wa watoto, inayojulikana kama “Daladala
yangu ni Salama kwa watoto” kama anavyoonekana katika picha, huko katika
steni ya daladala chake chake. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
MKUU wa askari wa usalama wa barabarani Mkoa wa kusini Pemba, Shawal
Abdalla akibandika stika katika daladala mara baada ya kuzinduliwa kwa
kampeni dhidi ya udhalilishaji wa watoto, inayojulikana kama “Daladala
yangu ni Salama kwa watoto” kama anavyoonekana katika picha, huko katika
steni ya daladala chake chake. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
WANANCHI wakibandika stika katika daladala mbali mbali zilizokuwepo
steni, mara baada ya kuzinduliwa kwa kampeni dhidi ya udhalilishaji wa
watoto, inayojulikana kama “Daladala yangu ni Salama kwa watoto” kama
anavyoonekana katika picha, huko katika steni ya daladala chake chake.
(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
Chanzo - ZanziNews
No comments:
Post a Comment