facebook likes

Tuesday, July 23, 2013

Chris Brown na Drake kuungana kwa mara ya kwanza tangu ugomvi wao



20130214-chris-x600-1360873933

Chris Brown na Drake sio marafiki kabisa na wamekuwa na ugomvi kwa muda mrefu sana. Hivi sasa kuna kitu kimoja cha msingi ambacho kitawafanya waungane na kusahau tofati zao. Baada ya ugomvi uliotokea kwenye club moja ya usiku huko New York ambapo uliwahusisha Chris Brown na Drake na mwisho wa siku watu kadhaa walipata majeraha hasa Chris Brown aliumia sehemu ya kidevu na bodyguard wake kupasuka kichwani.
Hivi sasa wamiliki wa club hiyo wamewafungulia mashataka mahakamani Chris Brown pamoja na Drake na kuwataka wawalipe dola millioni 16 kama fidia baada ya kusababisha hasara na kuharibu jina la eneo hilo. Sababu hii ndiyo pekee itawaunganisha Chris Brown na Drake ili waweze kuyakabili mashataka haya. Labda mawakili wa Chris Brown na Drake wanaweza kukutana na kuongea wenyewe kwa niaba ya wateja wao au wao wenyewe kukutana.
519545b6b5fc11e1bf341231380f8a12_7
Chris Browm alipoumia baada ya ugomvi ndani ya club
chris-brown-drake-fight-club-WIP
Hii ni sehemu ya ndani ya club baada ya ugomvi kutokea
Chris-Browns-bodyguard
Body guard wake Chris Brown baada ya kupata majeraha siku ya ugomvi mwaka jana

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...