facebook likes

Tuesday, July 23, 2013

KWA WALE WANAFUNZI AMBAO WANAPENDA KUCHEZA MPIRA, AZAM ACADEMY WAMETOA NAFASI YA MAJARIBIO.


image
Majaribio kwa Azam Academy sasa yatafanyika Agosti 6 kuanzia saa moja asubuhi. Wazazi na walezi tunashauriwa kuwagharamia watoto wetu nauli, chakula, malazi na vifaa vya michezo
Majaribio ni kwa siku moja tuu na tunahitaji wachezaji walio chini ya umri wa miaka 15…. kama mchezaji ana miaka chini 17 na ana kipaji cha hali ya juu sana pia atapewa kipaumbele

Baada ya mchakato na kama kijana atafuzu kujiunga na Azam Academy Mzazi/Mlezi atajaza fomu maalum kwa niaba ya kijana

Wachezaji mzingatie kuja na vielelezo vya umri wenu, (Cheti cha kumaliza elimu ya Msingi na Cheti cha kuzaliwa) kwa pamoja

Imetolewa na uongozi wa Azam Academy

image

Source: www.perfecttz.com

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...