facebook likes

Tuesday, July 23, 2013

Wanawake waliovaa pensi hadharani kwa mara ya kwanza.

Hii ni picha inayowaonyesha wanawake waliothubutu kuvaa kaptula kwa mara ya kwanza nchini Canada, unaambiwa walisababisha ajali ya barabarani kutokana na jinsi ambavyo walivuta hisia za watu ambao hawakuweza kujizuia kuwakodolea macho wakiacha kufanya shughuli zao.
Hii ilitokea huko Toronto mwaka 1937.
image

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...