facebook likes

Saturday, October 19, 2013

HII NDO TATOO YA MSANII DIAMOND PLATNUM ALIYEICHORA MIKONONI MWAKE...


DIAMOND3Hit maker wa Song ya “Nikifa Kesho”, na “Number One”  Diamond Platnumz anatarajia kuondoka leo nchini kuelekea china ambako atafanya show huko katika mji wa Guangzhou.
ANGALIA PICHA ZAIDI..........


Msanii huyo kwa sasa anamuonekano mpya katika mikono yake ambayo inaonesha Kachora tatoo Bado haijafahamika kwa ni neno gani limeandikwa katika tatoo hiyo na inamaanisha nini kwake…….
DIAMOND3


clip_image003[7]

clip_image003[9]





No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...