HIKI NDICHO ALICHOKISEMA LULU KUHUSU KESI YA BABU SEYA NA WATOTO WAKE....
Elizabeth Michael(Lulu) ambaye ni star wa filamu anayetamba Swahiliwood
ametoa ya moyoni mwake kwa kuwaombea na kuwatakia kila la kheri Babu
Seya na wanawe ambao kesi yao inatarajiwa kusikilizwa upya baada ya
kukata rufaa. Lulu ameyasema hayo kwakuwa hata yeye tayari ameshayaonja
maisha hayo magumu ya jela. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii star huyo
mwenye mvuto aliandika maneno hayo hapo chini kuhusu wanamuziki hao
ambao walifungwa maisha miaka michache iliyopita.
SOMA ZAIDI..........
"Ninaamini Mungu yupo...anasikia,anaona na ndiye mwenye kuhukumu kwa
Haki...!!!!Dua zangu ziko pamoja na Mzee Nguza na Papii Kocha...!hakuna
linaloshindikana mbele ya Mwenyezi Mungu...Kama anaweza kutoa Jaribu
basi yeye pia ndo mwenye Uwezo wa kufanya Njia ya kutoka ktk jaribu
Hilo...!Mwenyezi Mungu awasimamie katika rufaa yenu...!AMEN"
No comments:
Post a Comment