facebook likes

Saturday, October 19, 2013

HURUMA: WASTARA AUMIA TENA MGUU...!!


MWANADADA anayeendesha maisha yake kwa kuPkupitia  filamu  za Bongo,  Wastara Juma ameumia mguu baada ya kuwekewa mwingine mpya wa bandia huko Nairobi nchini Kenya.

SOMA ZAIDI.....Akizungumza na paparazi wetu siku chache baada ya kurudi Bongo, Wastara alisema aliumia wakati akifanya mazoezi ya mguu mpya aliowekewa ambapo kwa sasa anaendelea kuuguza jeraha hilo na amerudi mara moja kwa ajili ya Sikukuu ya Idd, ikimalizika atarejea tena nchini humo kwa ajili ya matibabu zaidi.

“Nimeshindwa kula sikukuu mbali na watoto wangu ndiyo maana nikaja mara moja japokuwa siko vizuri kwa sababu niliumia kwenye mazoezi ya kutumia mguu mpya huko Nairobi  na sasa nauguza kidonda lakini baada ya hapo nitarudi tena Nairobi kwa ajili ya

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...