facebook likes

Sunday, October 20, 2013

ANKO J... JULIUS NYAISANGA AFARIKI DUNIA....


Kaimu Meneja wa Abood Media Abeid Dogoli amethibitishia  kwamba ni kweli mtangazaji wa siku nyingi Tanzania Julius Nyaisanga amefariki dunia leo asubuhi.

Amesema Nyaisanga alipelekwa hospitali ya Mazimbu Morogoro jana saa nane mchana kutokana na kusumbuliwa na Kisukari pamoja na presha ambapo asubuhi ya leo October 20 2013 ndio akafariki dunia.

Mara yake ya mwisho kuingia ofisini ilikua juzi japo alikua ameanza likizo toka October 12 ambapo huu ulikua ni mwaka wake wa tatu toka ameanza kufanya kazi na Abood Media ya Morogoro kama Meneja wa kituo.

2.  AMEACHA MJANE NA WATOTO 3

3. MWILI UNAELEKEA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI HOSPITALI YA MOROGORO...

4. AWALI ALIKUA MTANGAZAJI WA RADIO ONE...KIPINDI CHA MAMBO MSETO ALMAARUFU KAMA BABU WA KIMANZICHANA..UNCLE JJ

ENDELEA KUTEMBELE JOVINBACHWA  BLOG KUPATA UPDATES ZAIDI....

MTANDAO HUU UNAWAPA POLE NDUGU, JAMAA, MARAFIKI NA MASHABIKI WA MAREHEMU....AAAMIIIN...

CHANZO: ITV TANZANIA...

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...