facebook likes

Saturday, October 19, 2013

KIDOLE CHA KATI ALICHOONESHA SALAMA JABIR KATIKA PICHA HII...CHAZUA MAMBO


 
** *Mtangazaji wa Kipindi cha Mkasi kinachorushwa hewani kupitia kituo cha EATV Salama Jabir, wa pili kutoka kushoto akidaiwa kutukana kwa kutumia ishara ya kidole wakati walipokuwa kwenye moja ya haraka za kurekodi matukio ya
kipindi cha EPIQ BSS 2013, kinachorushwa hewani kupitia kituo cha TBC1, Salama alifanya kituko hicho akiwa ameketi mezani na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo Profesa Jay wa kwanza kutoka kushoto,mratibu wa Shindano la Bongo Star Search Madame Lita katikati na Master Jay.*

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...