facebook likes

Tuesday, July 30, 2013

Uthibitisho wa Rais wa WBF kuhusu bondia Evander kuzichapa na Francois Botha Tanzania

Evander-Holyfield-v-Franc-001
Evander kuja Tanzania, wamesaini mkataba tayari July 26 2013

Baada ya uthibitisho huo wa Howard, naomba kukufahamisha kwamba mabondia hao tayari wameshasaini mkataba kwa ajili ya pambano hilo Uwanja wa Taifa Dar es salaam mapema mwakani ambapo sehemu ya mapato yake yatasaidia vita dhidi ya Malaria.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...