facebook likes

Tuesday, July 30, 2013

Kocha wa makipa timu ya Taifa "Pondamali" nae ajiingiza kwenye Bongo fleva, huu ndio wimbo wake na hiki ndicho alichokisema


Golikipa mstaafu aliyedakia team ya taifa Tanzania katika mashindano ya African Cup Of Nations 1980, Juma Pondamali Mensa, Ambae kwa sasa ni kocha wa makipa wa team ya taifa ya sasa, leo leo ameingia rasmi kwenye list ya wasanii wa Bongo Fleva ambao wamewahi kuchezea ligi kuu ya Tanzania.

Unashangaa!!!!! ndio namaanisha Juma Pondamali, ameachia wimbo wake unaoitwa "Pesa Inatutesa"
Pondamali enzi zake akiwa uwanjani alisifika kwa udakaji na mbwembwe zake uwanjani na aliwa kufungiwa kucheza mara 5, na mara 4 mapambano yalivunjika kwa sababu yake.
pondamali amezungumzia pia kama kutakuwa na muendelezo baada ya kuachia ngoma hii, na lini alijua kama anauwezo wa kufanya mziki maana mmmmmhhhhhh!!!!!

huu ndio wimbo wake unaoitwa "Pesa inatutesa"
 

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...