facebook likes

Wednesday, July 3, 2013

Umeshawahi kumsikia akiongea mtu alietajwa kufa akafufuka? #Msukule




..
Hekaheka ni kipengele ndani ya show ya Leo Tena Clouds FM ambacho huwa kinadili na mikasa ya mitaani na ya ndani kabisa… leo July 3 mtangazaji Dina Marios amefanya mahojiano mafupi na Mtanzania ambae amewahi kuchukuliwa kama msukule, ni zile imani za kishirikina ambapo mtu anatangazwa kafariki lakini sio kweli….. huyu jamaa alishawahi kutangazwa amekufa, msiba ukafanyika kabisa nyumbani.




No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...