facebook likes

Wednesday, July 3, 2013

New Music: Rama Dee ft. Lady Jaydee – Kama Hauwezi

Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo, Rama Dee anaachia wimbo wake mpya aliomshirikisha, Lady Jaydee.

Wimbo huu uitwao Kama Hauwezi umetengenezwa na Elly Da Bway wa studio ya HOME TOWN. “3/7/20013 Leo ni siku yangu ya kuzaliwa nasikia furaha kuwa karibu na mashabiki wangu,na hii ni zawadi kubwa sana kwao,” ameandika Rama

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...