facebook likes

Wednesday, June 26, 2013

PICHA:WILL SMITH AMCHEZESHA MWANAE JADEN SMITH TENA KWENYE MOVIE NYINGINE(AFTER EARTH)

Inaonekana Mchezaji Filamu wa Hollywood Will Smith anaonekana
 kumuandaa mwanae kurithi
kipaji toka kwake cha uchezaji mzuri wa filamu baada ya kuonekana
 kucheza nae filamu karibia
nne na mwanae huyo anaejulikana kama Jaden Smith......


Movie hii iliyotoka hivi karibuni inaitwa After Earth aliyoigiza
 will Smith na Mwanae huko kwenye ukanda
wa Tropical ikisimamiwa na Director Mzuri nchini Marekani
 M.Night Shyamalan.....
Movie hiyo iliyochukua zaidi ya miezi 13 yani mwaka 1
 na mwezi mmoja kuigiza kutokana
na mazingira ya stori yenyewe....

Tizama Picha hizi kuangalia baadhi ya
 picha ndani ya Filamu hiyo


Ndani ya filamu hiyo kipande moja wapo cha filamu hiyo...!!
Jaden Smith....!!


Will Smith....
CHEKI TRAILER HAPA.....

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...