facebook likes

Wednesday, June 26, 2013

BREAKING NEWS:CARLO ANCELOTTI ACHAGULIWA KUWA KOCHA WA REAL MADRID

Uongozi wa Timu ya Real Madrid Kutoka Spain Imemtangaza
Kocha wa zamani kutoka wa
Ac Milan,Chelsea na timu nyinginezo, Carlo Ancelotti kuwa kocha
wa timu hiyo msimu ujao...


Maamuzi hayo yamekuja badala ya kocha wa zamani wa
 Real Madrid,Jose Mourinho
kuwakacha na kurudi kuifundisha Team yake ya zamani Chelsea
 kwenye Ligii kuu ya
Uingereza kwa mara ya Pili.....
Ingawa hadi sasa Real Madrid awajasema wamempa dau la
kiasi gani kukubaliana na
Carlo kuwa Kamanda wa kukiongoza kikosi hicho kulekea
msimu ujao kwenye
Ligii ya uhispania......

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...