Nitoke vipi: Kituko jamaa ajibadirisha na kuwa na sura ya mbwa.
Mbrazili mmoja aliyekuwa na tamaa ya kuvunja rekodi kwa kujibadiri
sura ili awe na sura ya mbwa, pamoja na nia yake hiyo alidiriki kulipa
mapesa mengi ili kufanyiwa upasuaji iki kutimiza azma yake hiyo. Na nia
kubwa kwake ni kuwa binadamu wa kwanza mtu+ mbwa duniani( Dogman).
Mtu mwenye sura nzuri ambayo haina shida yeyote ametamani kuwa mbwa!.
Lakini haishangazi sana kwa dunia hii yenye kila vituko na vioja. Hebu
angalia mchakato mzima wa upasuaji wake na vioja vyake.
No comments:
Post a Comment