
Ikiwa zimebaki siku chache kwa mwanamuziki wa Marekani miondoko ya Hip Hop Jay Z kuiachia albamu yake iliyoipa jina la 'Magna Carta Holy Grail' ameanza kwa kutoa mashairi yanayopatikana katika albamu hiyo
Jay Z kwa kuanza ametoa mashahiri ya wimbo unaoitwa 'Holy Grail' aliomshirikisha Justin Timberlake ambapo pia utapatikana katika albamu hiyo
No comments:
Post a Comment