facebook likes

Thursday, June 27, 2013

JUMA KASEJA HURU KUTAFUTA TIMU NYINGINE, SIMBA SC WAACHANA NAYE

Juma Kaseja.
  TIMU ya Simba SC imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma Kaseja. Simba SC kupitia kwa Mwenyekiti wake wa Kamati ya Usajili, Zacharia Hans Pop, umetangaza kuachana na kipa huyo ambaye ni nahodha wa Timu ya Taifa, Taifa Stars. Kaseja ambaye ameipatia mafanikio mengi Simba amemaliza mkataba wake na timu yake hiyo ambayo imemwambia yupo huru kutafuta timu nyingine.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...