facebook likes

Friday, February 8, 2013

Barnaba Am Sorry Official Video YouTube


Video mpya ya kijana wa kichaga ambae moja kati ya nyimbo zake za mwanzo ilihusu maisha halisi ya wazazi wake waliogombana, ugomvi ulisababishwa na msg ya mrembo aliekua akimpenda baba mzazi wa Barnaba… baba mzazi ni mfanyabiashara ambae kwa wakati huo alikua ameweka namba zake za simu kwenye tangazo nje ya nyumba yake aliyokua akiipangisha, yule mrembo anaempenda alipoiona namba ya simu akamtumia msg ambayo baadae ilionekana na mama mzazi wa Barnaba na balaa ndio likaanzia hapo… japo baadae kila kitu kilikaa shwari.

Barnaba ametuletea video yake mpya inaitwa ‘Sorry’ chukua time yako kuitazama alafu useme chochote kwenye comment hapo chini..

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...