Baada ya taarifa kuenea katika mitandao kuhusu Diamond anatumia mganga wa jadi katika kazi zake za muziki.
Leo kupitia Clouds Fm double XXL katika jiwe la wiki rafiki yake wa karibu 'Ommy Dimpoz' aliweza
 kusema kwa upande wake hadhani kama vitu vya ushirikina vinaleta faida 
katika upande wa muziki na wala hajawahi kujihusisha navyo maishani 
mwake.
Swali:Mara ya mwisho baada ya kukutana na Diamond Platinum hamjawahi kuzungumzia mambo ya ushirikina"Kusema
 kweli mara mwisho nakumbuka nilikutana naye na tukazungumzia kuhusu 
show yangu lakini mambo mengi hatujazungumza.Ommy Dimpoz alisema
No comments:
Post a Comment