facebook likes

Friday, February 8, 2013

Recho Nashukuru umerudi [Official Video]


Sasa ni wakati wa kutazama video mpya ya watoto wanaotoka kwenye familia za hali ya chini kabisa lakini Mungu alimkumbuka kwa kumshushia kipaji cha muziki ambavyo sasa hivi ndio kinachangia kutunza familia yake.
Fiesta 2012 Recho aliwahi kuniambia yeye ndio anaisaidia familia yao baada ya baba yake kuanza kuugua huko nyumbani kwao Kigoma, chukua nafasi hii kufahamu huyu mrembo kaonyesha kipaji chake kwa uwezo gani kuongeza juhudi za kutengeneza pesa kuisaidia familia yake….
Hii ni video yake mpya ‘Nashukuru umerudi’

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...