
Curtain call: Gareth Bale emerges in Real Madrid's new orange third kit
NYOTA mpya wa Real Madrid, Gareth Bale
ameanza mazoezi rasmi leo na kukutana na mchezaji nyota zaidi wa timu
hiyo, Cristiano Ronaldo.
Mchezaji huyo ghali mpya duiniani,
aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 86 alitua Jumatano, lakini leo akasimama
mbele ya kamera kufanya tangazo la jezi mpya ya tatu ya klabu hiyo ya
rangi ya chungwa.
Bale alijipanga pamoja na Karim Benzema
na Marcelo wakati adidas wakichukua fursa ya kumtumia katika tangazo lao
la biashara Galatico mpya.
Mkataba wa Pauni Milioni 30 kwa mwaka na Real Madrid umesaidia klabu hiyo ya Hispania kuvunja rekodi ya usajili duniani kwa mara ya tano kwa usajili wa Bale.
Mkataba wa Pauni Milioni 30 kwa mwaka na Real Madrid umesaidia klabu hiyo ya Hispania kuvunja rekodi ya usajili duniani kwa mara ya tano kwa usajili wa Bale.

His future's bright: Gareth Bale at the launch of the new Real Madrid orange third kit

On the mic: Bale (right) talks as Marcelo tries to sort out Karim Benzema's hair

Chasing shadows: Real's three players behind a screen - can you guess who's who?

All for one: Real's three musketeers Marcelo (left), Benzema (centre) and Bale

On the ball: Marcelo (left), Karim Benzema (centre) and Bale share a smile

Like a blur: Gareth Bale warms up at Madrid training

Putting in the hard yards: Bale starts off on a sprint

Team-mates reunited: Gareth Bale with Luka Modric at Real Madrid training on Thursday

Man in charge: Bale speaking to his new Real Madrid boss Carlo Ancelotti

Deadly duo: Bale doing some stretching in front of Ronaldo

Current king: Ronaldo was also on the training ground in Madrid
No comments:
Post a Comment