facebook likes

Friday, September 13, 2013

MBUNIFU WA MAVAZI SHERIA NGOWI AALIKWA KUHUDHURIA NEW YORK FASHION WEEK SHOW NCHINI MAREKANI.

 Mkurugenzi msaidizi na Meneja Masoko  Bw. Deaogratius Kessy (katikati) wa Kampuni ya Ubunifu ya Sheria Ngowi akimuelezea Mbunifu wa Mavazi Sheria Ngowi juu ya mwaliko alioupata kuhudhuria New York Fashion Week Show nchini Marekani.
SOMA ZAIDI.... Kulia ni Meneja Mahusiano wa kampuni ya Sheria Ngowi  Bi. Julda Makundi na kushoto ni Mbunifu wa Nguo za Kike wa kampuni hiyo Bi. Jessica Ngowi. Mkutano huo umefanyika leo katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi msaidizi na Meneja Masoko  Bw. Deaogratius Kessy (katikati) wa Kampuni ya Ubunifu ya Sheria Ngowi akimuelezea Mbunifu wa Mavazi Sheria Ngowi juu ya mwaliko alioupata kuhudhuria New York Fashion Week Show nchini Marekani. Kulia ni Meneja Mahusiano wa kampuni ya Sheria Ngowi  Bi. Julda Makundi na kushoto ni Mbunifu wa Nguo za Kike wa kampuni hiyo Bi. Jessica Ngowi. Mkutano huo umefanyika leo katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya waandishi wa habari na washiriki waliohudhuria Mkutano wa wanahabari ulioitishwa na Kampuni ya Ubunifu ya Sheria Ngowi ambaye ni Mbunifu wa Mavazi na mtanzania aliyepata mwaliko kuhudhuria New York Fashion Week Show nchini Marekani.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...