facebook likes

Friday, September 13, 2013

BINADAMU 200,000 KWENDA KUISHI MILELE KATIKA SAYARI YA MARS KUANZIA MWAKA 2016...


Greda itakavyokarabati ardhi kuwezesha watu kuishi Mars. 
SOMA ZAIDI....
Greda itakavyokarabati ardhi kuwezesha watu kuishi Mars Imesema kuwa mifumo ya kwenda huko itajar ibiwa mara 8 kabla haijatumiwa kusafirisha watu na kwamba safari itakuwa salama kuliko ile ya kwenda mweziniarticle-0-16D5B5EA000005DC-73_634x242
Muonekano wa ardhi. 
TIKETI ya one way kwenda kuishi kwenye eneo tasa, lenye ardhi ya ajabu, joto linaloweza kugota 150°C, inaweza isiwe na mvuto kwa wengi, lakini mpaka sasa watu laki 2 kutoka nchi 140 duniani wametuma maombi yao kuwa sehemu ya wakoloni wa kwanza kwenda Mars.

Waombaji wamekubali kuishi kwenye sayari hiyo nyekundu kwa maisha yote yaliyosalia na watashutiwa kwenye reality TV show.

Kampuni ya Uholanzi ya Mars One inajiinda kwenda kwenye sayari hiyo October 2016 kuandaa mazingira na makazi kuwekwa huko mwaka 2018. 
 
 
 
Chanzo: Daily Mail.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...