facebook likes

Friday, September 13, 2013

H.BABA NA FLORAH MVUNGI WAMPATA MTOTO WA KIKE NA KUMUITA TANZANITE.


Tanzanite
Wasanii maarufu nchini H Baba na mkewe Frolah Mvungi wamefanikiwa kupata mtoto wa kike jana jioni majira ya saa 12:30 katika hospitali ya
Maria Stope iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam.
SOMA ZAIDI...
Kama unakumbuka hapo awali H Baba alisema kama akifanikiwa kupata mtoto wa kike au wa kiume basi atampa jina la 'Tanzanite' ambalo ni madini yanayopatikana Tanzania pekee duniani, hatimaye wanandoa hao wamefanikiwa kumpata mtoto wa kike na kumpatia jina la Tanzanite.

                          H.Baba na Florah

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...