facebook likes

Tuesday, August 27, 2013

WEMA AWATAMBULISHA WASANII WAKE CLUB BILLICANAS JUZI


Wasanii wanaokuja kwa kasi katika muziki wa Bongo flava hapa Tzee Mirrow pamoja na Asali juzi waliweza kukonga nyoyo za mashabiki wao walipopanda Jukwaani.
SOMA ZAIDI..........

wema2



mirror

Asali

h-baba

dogo-janja

barnaba


wema
Mirrow na Asali ni wasanii wanatoka katika kampuni ya Endless Fame ambayo ipo chini ya Mwanadada mahiri Wema Sepetu.
Katika uzinduzi huo wasanii wa Endeless Fame walitambulisha nyimbo zao mpya ambazo ziliwagusa mashabiki waliofika katika Club ya Bilicanas, pamoja na uzinduzi huo CEO wa Endless Fame Wema Sepetu alipanda Jukwaani kwa ajili ya kunena na mashabiki wake, ili waweze kuwapokea wasanii wanaotoka katika kampuni yake.
Uzinduzi wa nyimbo mpya za Mirrow na Asali ulisindikizwa na wasanii mbalimbali kama vile, Mwana FA, H.Baba, Country Boy, Barnaba, Mao, TID, Nyandu Tozi, Hassani Mapenzi.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...