facebook likes

Tuesday, August 27, 2013

RAIS KIKWETE AMWAPISHA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA MPYA JAJI FRANCIS MUTUNGI IKULU DAR ES SALAAM JANA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi, Ikulu jijini Dar es salaam jana.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.........
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na  Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi na viongozi wa vyama vya siasa Ikulu jijini Dar es salaam jana.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...