facebook likes

Tuesday, August 27, 2013

MWANAMUZIKI "TYRESE" AZIMIA NDANI YA CLUB.

    Tyrese Gibson Mwanamuziki na Mcheza Sinema dakika chache zilizo pita ameanguka nakuzimia ndani ya club moja hapa Jijini Washington .
SOMA ZAIDI............
Tyrese na Kundi lake la TGT(Tyrese,Ginu Wine,Tank) Walikuwa wanatakiwa kufanya Show ndani ta Club hiyo lakini wakati wakiwa VIP Tyres alianguka nakuzimia ndipo walipo mkimbiza hospitali na hivi sasa haliyake bado haijajulikana inaendelea vipi.
    Jambo lililomshangaza Mwanahabari wetu ni kuwa wasichana wote waliokuwa wamemzunguka pale VIP waliendelea kumshangaa akiwa chini nakuanza kuvuta Simu zao nakumpiga picha badala yakujaribu kumpatia huduma ya kwaza,kweli ulimwengu huu wa Digitali ni kazi.Picha za Tyrese akiwa ameanguka tunazo kwani tayari zimeenea kwenye mtandao wa Instagram lakini Blog hii haitazitoa kwani si uungwana.Tunaomba tumuweke kwenye maombi yetu natutaendelea kuwaletea maendeleo yake.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...