facebook likes

Thursday, August 1, 2013

Video za interview yote ya Nando kuhusu ugomvi BBA, msichana aliempenda, washiriki wanaoweza kushinda na mengine


7
Ni interview ya Mtanzania Nando alieshiriki kwenye shindano la Big Brother 2013 ambapo ametolewa siku kadhaa zilizopita baada ya kuvunja moja ya sheria za shindano hilo, yani chanzo ni ugomvi wake na Mghana Elikem.
Kwenye hii interview ya kwanza ya Nando toka ametoka ambayo pia afisa uhusiano wa Multichoice Tanzania Barbara Kambogi  amezungumza, Nando anakwambia kosa alilofanya lilikua ni kumwambia Elikem ukweli, haiwezekani mtu mzima na akili zake arushe barafu kwenye dancing floor.
Sasa nakualika kutazama hizi video za interview yote ya Nando.

source:millardayo




No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...