facebook likes

Thursday, August 1, 2013

KAMA UJAWAHI KUONA GARI DOGO LENYE JIKO NA KITANDA BASI TIZAMA HAPA PICHA NA VIDEO YAKE

Gari likiwa limefunguliwa na kuonesha maeneo yote
Hili ndilo jiko ambalo unaweza kupika ukiwa sehemu yoyotebila shida
Huu ndio mwonekano mzima wa jiko hilo

Baada ya kupika jiko hilo ubadilika na kuwa dining table 
Huu ndio mwonekano mzima wa Dining table
Hii ni sehemu ya  kunawia mikono kama unataka kula au kama unataka kuosha vyombo na pia unaweza kutumia maji haya kwa kupikia 
Hiki ni kitanda baada ya kuifadhiwa kwa chini na kitanda kuja juu

TIZAMA VIDEO YA HAYA YOTE HAPA CHINI

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...