facebook likes

Friday, August 30, 2013

PICHA: MASHABIKI WA YANGA WALIPIGA MAWE BASI LA COASTAL UNION NA KUVUNJA VIOO NA KUMPASUA MCHEZAJI WA WAGOSI

Siku ya jana baada ya mchezo wa Yanga vs Coastal Union kuisha - timu ya Coastal ikiwa inaondoka uwanja wa taifa ilifanyiwa vurugu na mshabiki wanaosadikika kuwa wa Yanga.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.......Katika vurugu hizo inasemekana watu kadhaa wamejeruhiwa na huku mchezaji wa Coastal Union  Hamad Juma 'Basmat', amepasuliwa kichwani na ameshona nyuzi kadhaa.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...