(picha kwa hisani ya bongo5)
Msanii Diamond Platnum amefanya kufuru usiku wa jana kwa kutoa zawadi ya Gari kwa Mzee Ngurumo Mwanamziki wa miaka mingi na mkongwe nchini aliyestaafu majuzi kufanya kazi za mziiki.
Tukio hilo limetokea usiku wa jana ndani ya ukumbi wa SERNA HOTELkatikati ja jiji la DSM ambapo Diamond Platnum amezindua video yake ya wimbo wa #one fan.
Kiingilio cha show hiyo ni bureeeeeeeeeeeee....LAKINI UMEALIKWA?
Mzee Ngurumo amesema"Haamini macho na masikio yake,hanachakusema zaidi ya ASANTE kwa msanii huyo"Lakini pia amesema hajui hata mke wake atasemaje baada ya kumwona akiingia na gari ndani ya nyumba yake.
Mzee ngurumo amekuwa na matatizo ya kiafya siku za karibuni nakupelea kustaafu mziki kabisa.Wazee wa msondongoma ndio wanajua makali ya Mzee Ngurumo
No comments:
Post a Comment