facebook likes

Friday, August 30, 2013

RAY C AFUTA YA MASANJA, NAE AOKOKA KWA KUBATIZWA LEO! CHECK TUKIO ZIMA


Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za ubongo wa fuleva leo hii ameweka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. 
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.....Wambea hatuna maneno mengi zaidi ya kusema angalia picha hizo na wote tuseme AMEN umechagua njia njema.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...