facebook likes

Friday, August 30, 2013

NEWS:HII NDIO TWEET YA FUSE MZEE WA AZONTO AKIWEKA WAZI UJIO WAKE NCHINI TZ.......

SOMA ZAIDI........
Baada ya kuzagaa kwa stori za hapa na pale
kuhusiana na ujio wa msanii huyu wengine wakisema
ni propaganda kama mara ya kwanza miezi kadhaa


 nyuma kulinuka stori za msanii huyu
kutoka ghana kuja nchini mwisho wa siku watu
waliingizwa mkenge pasipo kumuona mzee wa Azonto.
Lakini hii ni Official kabisa Tweet ya Msanii Fuse
Odg nikimanisha ni Halali toka kwake kupitia
mtandao wake wa Tweeter na kutweet kuwa,Ndani
 ya tarehe 7 atakuwa jijini Dar es salaam
kuwasha moto na kuleta Antenna Bongo...
So wala bata na Flowers msiwe na wasi wasi
Fuse atakuwepo ndani ya Bongo Land
tarehe hiyo so wahi kukata ticketi yako mapema kuepuka usumbufu.


No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...