Hii ni status ya July 15 2013 kwenye facebook ya Rapper Chidi Benz
ambae mwaka 2011 alitangaza kuachana na uvutaji
wa bangi ambao alikiri ulimfanya afanye mambo mengi yasiyo mazuri na
hata kutoa picha mbaya kwa watu mbalimbali iliyotokana pia na ukorofi wa
kupiga watu mara kwa mara.
No comments:
Post a Comment