facebook likes

Monday, September 9, 2013

STAILI YA KUCHEZA YA NGOLOLO ALIYOIANZISHA DIAMOND YAANZA KUSHIKA


Baada ya Diamond kutoa wimbo wake mpya wa Number one ambae kwa sasa ni gumzo, kila mahali kwenye sherehe ama harusi watu wanacheza staili aliyocheza diamond kwenye huo wimbo ambayo yeye mwenyewe anaiita NGololo ....Hii naitabiria itakuwa staili kubwa ya kucheza kama ilivyokuwa AZONTO ya Kutoka west Africa...Big Up  Diamond

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...