facebook likes

Tuesday, February 26, 2013

Wema Sepetu kuanzisha Reality TV Show yake soon

Baada ya kufanikiwa kuanzisha Kampuni ya filamu, Endless Fame Films ambayo Ofisi zake zilizinduliwa Feb 20, Wema Sepetu yupo kwenye mchakato wa kufanya Reality TV Show.

Wema Sepetu amesema mipango ya Reality TV Show inakaribia kumalizika (very soon), na kuongeza kwamba kabla alikua anajitengenezea mazingira ya kufanya kitu hicho.

Wema Sepetu aliifafanua Reality TV Show hiyo kwamba itahusu maisha yake kwa ujumla, anachofanya, anachopenda, yeye ni nani na mengine mengi ambayo yataonekana kwenye Show hiyo. 

"I will try to be as open as possible kwa viewers, and give them what i have to do." - Wema Sepetu.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...