facebook likes

Tuesday, February 26, 2013

HII NDIO SIMU MPYA ILIYOZINDULIWA, UKICHAJI MARA MOJA INAKAA NA CHAJI KWA SIKU 35.

Kampuni ya Nokia imezindua simu yake mpya ya mkononi ambayo ukiichaji mara moja tu, unaendelea kuitumia bila kuichaji kwa siku 35.. ni simu ambayo inatarajiwa kupata soko kubwa sana kwenye sehemu ambazo kuna tatizo la umeme na pia inaweza kutumika kama back-up phone
Simu hii ya Nokia 105 inatarajiwa kuingia sokoni ndani ya wiki chache zijazo ikiwa na mvuto kama colour screen, ina tochi na inashika Fm Radio na gharama yake ni ndogo sana pia.

.


No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...