facebook likes

Tuesday, February 26, 2013

Kanye West aiponda Track mpya ya Justine Timberlake na Jay Z, ‘Suit & Tie’

Rapper Kanye West juzi amezua maswali meengi kwa mashabiki wake baada ya kui-diss ngoma mpya ya Justine Timberlake ambayo ndani yake Jay Z ameshirikishwa. 

Rapper huyo akiwa kwenye show yake jijini London alii-diss track ya J.T. inayofahamika kama Suit & Tie. Wakati ana-perform, Kanye West aliimba mistari hii ambayo ilikua diss kwa Justine Timberlake na Jay Z;

"Remind me again who's the original superfly?? And I got love for Hov, but am not fucking with that 'Suit & Tie'..." - Kanye West.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...