facebook likes

Tuesday, February 26, 2013

VIDEO NA PICHA :LUDACRIS,JAY Z,USHER,MARIA CAREH,JD,YOUNG JEEZY WALIVYOIPA SHAVU SO SO DEF PARTY


Usiku wa kuamkia leo Producer Jermaine Dupri aliaanda show ya kuadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwa label yake inayokwenda kwa jina la So So Def iliyowatoa wasanii wengi kipindi cha nyuma.
Show hiyo ilifanyika jana katika jiji la Atlanta ambapo wasanii mbalimbali waliweza kutumbuiza na wengine kuhudhuria show hiyo kama,Jay Z,Usher,JD,Young Jeezy,Maria Cariah na wengineo kibao.

 Hizi ni video za wasanii waliopiga show katika So So Def party.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...