facebook likes

Monday, July 8, 2013

Picha: Ujumbe wa Diamond kwa birthday ya mama yake mzazi


Kila ninapowaza nikufanyie kitu gani naona
 kama kidogo hakitoshi kwa jinsi shida,tabu ulizozipata
 katika kunilea hadi leo kufikia hapa...ni Matatizo mengi sana, tena Saana hadi kila
 niyakumbukapo najikuta ghafla machozi
 yananitoka...tazama hata hapa najikuta nakosa
 cha kukiandika maana kila niliandikalo naona kama bado halitoshi
 kuelezea Hisia, Upendo, Thamani na Heshima yangu Kwako... Nakupenda 
sana Mama yangu, Mwenyezi Mungu akuzidishie Maisha marefu 
yenye Afya na furaha ili uzidi kuniongoza vyema Mwanao, Maana Bila wewe
 Mbele kwangu ni kiza... Happy Birthday Mama Nasibu 



vjpenny04Sad baby had to work! He missed alot! Buh hey!!! I represented him...... Again Happy birthday Mama... Cc@diamondplatnumz
Nyandu tozi pia leo hii ni siku yake ya kuzaliwa na hii ndio keki yake

mama mzazi wa msanii Queen Darlin pia leo ni siku yake ya kuzaliwa

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...